Mto Elerai

(Elekezwa kutoka Mto Elerai (Kajiado))

Mto Elerai ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji ya mmojawapo yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit