Mto Engare Olmotoni
Mto Engare Olmotoni ni kati ya mito ya mkoa wa Arusha (Tanzania kaskazini). Mto huo unakatiza katikati ya soko lililopo Ngaramtoni.
chanzo cha mto huu ni katika kilele cha mlima Meru kinachoitwa Nadung'oro iliyogawanyika na mto Lemanda inayokatiza katika maeneo ya Oldonyosambu na kijiji cha Oldonyowasi. Mito hii huungana eneo linaloitwa Ogilai huko Ketumbeine.
Maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Engare Olmotoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |