Ramani ya beseni la mto Abay.

Mto Guder unapatikana katikati ya Ethiopia na unapokea maji ya mto Dabissa na mto Taranta.

Beseni lake linaenea katika kilometa mraba 7,011.

Ni tawimto la mto Abay (Nile ya Buluu).

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Guder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.