Ramani ya beseni la mto Abay.

Mto Hanger (pia: Angar) unapatikana Ethiopia.

Matawimto yake ni mto Wajja, mto Alata na mto Ukke.

Mwisho unachangia mto Didessa, tawimto la mto Abay (Nile ya Buluu).

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Hanger kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.