Mto Harts ni mto wa jimbo la North West na la Northern Cape, Afrika Kusini.

Mto Harts kwenye ramani

Ni tawimto la mto Vaal, ambao ni tawimto la mto Orange.

Urefu wake ni kilomita 320.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Harts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.