Mto Jur (pia: Sue) unapatikana Sudan Kusini na una urefu wa kilometa 485.

Unaishia katika Mto Bahr al-Ghazal, tawimto kuu la Nile.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri