Mto Kibish

Mto Kibish unapatikana kusini mwa Ethiopia na kutumika kama mpaka wake na Sudan Kusini.

Miaka mingine maji yake yanafikia ziwa Turkana, kama C.W. Gwynn alivyogundua mwaka 1908.[1]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. C. W. Gwynn, "A Journey in Southern Abyssinia", Geographical Journal, 38 (August 1911), p. 125
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kibish kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.