Orodha ya mito ya Sudan
Mito ya Sudan ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
- kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Kati au katika Bahari ya Hindi au katika maziwa na mabonde ya ndani)
- kadiri ya alfabeti.
Kadiri ya beseniEdit
Bahari ya KatiEdit
Ramani ya beseni la mto Atbarah.
- Mto Atbarah
- Mto Mareb (Gash)
- Mto Obel (Setit)
- Mto Tekeze
- Mto Angereb (Angereb Mkubwa)
- Mto Mareb (Gash)
- Nile ya Buluu (Abay)
- Mto Atbarah
Bahari ya ShamuEdit
Jangwa la SaharaEdit
- Wadi Howar (mabaki ya Nile ya Njano)
Ziwa KundiEdit
Kwa utaratibu wa alfabetiEdit
Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu: