Mto Kimani (Njombe)

(Elekezwa kutoka Mto Kimani)

Mto Kimani ni mto wa mkoa wa Njombe na mkoa wa Mbeya (Tanzania Kusini Magharibi) ambao ni tawimto la Ruaha Mkuu ambao unapitia Iringa na tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji ambao unamwaga maji mengi katika bahari Hindi.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit