Mto Kongkong (pia: Kong Kong) unapatikana Sudan Kusini (Jimbo la Jonglei).

Beseni la Mto Sobat.

Unaungana na mto Abara kuunda mto Agwei, tawimto la mto Pibor.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kongkong kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.