Kwango
(Elekezwa kutoka Mto Kwango)
Kwango (au Cuango) ni mto wa Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao ni pia tawimto mrefu wa mto Kasai.
Chanzo | Nyanda za juu za Bié (Angola) |
Mdomo | Kasai |
Nchi | Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Urefu | 1,100 km |
Kimo cha chanzo | takriban 1,500 m |
Mkondo | ?? m³/s |
Eneo la beseni | ?? km² |
Chanzo chake kiko nyanda za juu za Bié katika Angola kikielekea kaskazini. Inakuwa mpaka kati ya Angola na Kongo halafu kuingia ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inaishia kwenye mto Kasai karibu na mji wa Bandudu.
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kwango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |