Mto Lukose

Mto Lukose unapatikana katika Mkoa wa Iringa (Nyanda za Juu za Kusini, Tanzania).

Maji ya mto huo yanaishia Bahari Hindi kupitia Ruaha Mkuu na mto Rufiji.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit