Mto Luyangala

Mto Luyangala ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya na mkoa wa Iringa (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia ziwa Nyasa na mto Zambezi.

Mdomo wake uko Lumbila iliyoitwa Alt-Langenburg wakati wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani na kwa muda ilikuwa makao makuu ya Mkoa wa Langenburg.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit