Mto Mbarali

Mto Mbarali ni kati ya mito ya mkoa wa Mbeya na mkoa wa Njombe (Tanzania Kusini Magharibi) ambao ni tawimto la Ruaha Mkuu ambao unapitia Iringa na tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji ambao unamwaga maji mengi katika bahari Hindi.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit