Mto Mbungu unapatikana katika Mkoa wa Iringa (Nyanda za Juu za Kusini, Tanzania).

Ni tawimto la Ruaha Mkuu, unaotiririka hadi kuingia mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri