Mto Mille unapatikana nchini Ethiopia kama tawimto la mto Awash[1] ambao unaungana nao kwenye majiranukta 11°25′N 40°58′E / 11.417°N 40.967°E / 11.417; 40.967.

Mto Mille.

Mto Mille unapokea kwanza maji ya mto Ala (A'ura) na Mto Golima (Golina)[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. The explorer L.M. Nesbitt, who travelled through the area in 1928, was impressed by its size, and described the Mille as "probably the only real river which joins the Awash".Nesbitt, Hell-Hole of Creation: The Exploration of Abyssinian Danakil (New York: Alfred A. Knopf, 1935), p. 201
  2. Routes in Abyssinia 1867, Education Society Press, Bombay
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Mille kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.