Mto Awash (kwa Kiamhara: አዋሽ; pia: Hawash, We'ayot, Webiga Dir) unapatikana nchini Ethiopia.

Hauishii baharini, ila katika mfululizo wa maziwa.

Upande wa chini wa bonde lake umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Awash kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.