Mto Msangazi

(Elekezwa kutoka Mto Msangasi)

Mto Msangazi ni mto wa Tanzania ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mashariki mwa nchi).

Unaishia baharini kwenye kata ya Kipumbwi takriban km 25 upande wa kusini Wa Pangani.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri