Mto Msangazi
Mto Msangazi ni mto wa Tanzania ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mashariki mwa nchi).
Unaishia baharini kwenye kata ya Kipumbwi takriban km 25 upande wa kusini Wa Pangani.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Msangazi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |