Mto Nthunguthu hupatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya. Nthunguthu ni jina la kiasili la korongo. Nthunguthu ni kijito cha katikati[1] kinachojumuishwa katika kikundi H kihaidrolojia (class H - Hydrographic)[2].

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri