Mto Olifants (Western Cape)

Mto Olifants (Western Cape) ni mto wa jimbo la Western Cape, Afrika Kusini.

Hii ni picha ya Mto Olifants unapita kati ya milima ya Cederberg kilomita kadhaa kutoka mto Citrusdal.

Unaishia katika bahari ya Atlantiki.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Olifants (Western Cape) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.