Mto Otin
Mto Otin ni mto nchini Nigeria unaopatikana katika Jimbo la Osun.[1]
Chanzo chake ni mji wa Odo-Otin uliopo Kaskazini-Mashariki mwa Jimbo la Osun.
Mkondo wake ni mita za ujazo 2684. Njia yake ni km 36. Mto huu ni tawimto la Mto Erinle.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya nje
hariri- "Brief Historical Background". Odo-Otin Local Government. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-08. Iliwekwa mnamo 2014-08-17.
- https://www.geonames.org/2325478/river-otin.html
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Otin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |