Parana (mto)
(Elekezwa kutoka Mto Paraná)
- Tazama pia Paraná, majimbo za Brazil.
Río Paraná (mto Parana) ni mto mrefu wa pili wa Amerika Kusini. Chanzo kipo nchini Brazil kwenye bwawa la Ilha Solteira inapokutana mito ya Paranaíba na Rio Grande.
Río Paraná | |
---|---|
Chanzo | Bwawa la Ilha Solteira (Brazil) inapokutana mito ya Paranaíba na Rio Grande |
Mdomo | Rio Plata |
Nchi | Brazil, Argentina, Paraguay |
Urefu | 4,000 km |
Kimo cha chanzo | 1,148 m |
Tawimito | Paranaiba, Rio Grande (Brazil), Iguazo, |
Mkondo | 16,800 m³/s |
Eneo la beseni | 2,582,672 km² |
Idadi ya watu wanaokalia beseni | milioni 59 |
Miji mikubwa kando lake | Ciudad del Este, Foz do Iguaçu (Brazil), Posadas, Santa Fe (Argentina), Parana |
Inapotoka katika eneo la Brazil unakuwa mpaka kati ya Brazil na Paraguay, baadaye kati ya Paraguay na Argentina.
Kilomita 500 km za mwisho unapita Argentina na kukutana na Río Uruguay halafu kuingia pamoja naye katika Rio de la Plata.
Viungo vya Nje
hariri- Information and a map of the Paraná's Watershed Ilihifadhiwa 27 Oktoba 2004 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Parana (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |