Mto Rusizi Rutoya (pia: Petite Rusizi, yaani Rusizi Mdogo) unapatikana kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi (mkoa wa Bujumbura Vijijini).

Maji yake huelekea Ziwa Tanganyika, Mto Kongo na hatimaye bahari ya Atlantiki.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Rusizi Rutoya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.