Mto Rutukira ni jina la miwili kati ya mito ya mkoa wa Ruvuma (Tanzania Kusini) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi, ya mmoja kupitia mto Ruvuma, ya mwingine kupitia mto Zambezi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri