Mto Sinza (Ng'ombe)

Mto Sinza (Ng'ombe) ni kati ya mito ya mkoa wa Dar es Salaam (Tanzania Mashariki) ambao maji yake yanaishia katika Bahari Hindi kupitia mto Msimbazi. Urefu wake ni kilometa 19.5.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri