Mto Tugela

Mto Tugela (au Thukela) ndio mto mkubwa zaidi wa KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, tawimto la mto Limpopo.

Urefu wake ni km 502 hivi.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Tugela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.