Mto Waw Nahr
Mto Waw Nahr unapatikana Sudan Kusini na ni tawimto la mto Jur ambao unaishia katika Mto Bahr al-Ghazal, tawimto kuu la Nile.