This is Paris

Filamu ya Mwaka 2020

This is Paris ni makala na filamu iliyotengenezwa mwaka 2020 na kampuni ya Youtube Originals kumhusu mwanamitindo, mfanyabiashara na mburudishaji Paris Hilton.[2][3][4][5][6][7][8]

Paris Hilton muigizaji mkuu wa filamu ya "This is Paris"[1]

Mtiririko

hariri

This is Paris ni makala inayohusu maisha ya kila siku ya Paris Hilton na inaonesha hadithi ambazo zilikuwa hazijulikani kuhusu maisha yake binafsi[9]. Katika filamu hii, anadhihirisha uzoefu wake kihisia pamoja na vitendo vya unyanyasaji wa kimwili aliopitia wakati anasoma shule mbalimbali za bweni wakati akiwa kijana[10]. Pia inaonyesha historia ya kazi zake, kuanzia mwanzo mpaka hivi sasa, akisaidiwa na mahojiano yaliyofanywa na wanafamilia pamoja na Rafiki zake.

Marejeo

hariri
  1. "Paris Hilton", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2023-01-08, iliwekwa mnamo 2023-01-13
  2. Angelique Jackson, Angelique Jackson (2020-09-14). "Paris Hilton Aims to Redefine Her Brand by Sharing Childhood Trauma in 'This Is Paris' Documentary". Variety (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  3. Angelique Jackson, Angelique Jackson (2020-09-14). "Paris Hilton Aims to Redefine Her Brand by Sharing Childhood Trauma in 'This Is Paris' Documentary". Variety (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  4. "Paris Hilton built the original personal brand. Now she's letting viewers see past the facade". Fortune (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  5. "This Is Paris: Hilton documentary puts the reality in reality TV". the Guardian (kwa Kiingereza). 2020-09-15. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  6. Kaplan, Ilana (2020-09-12), "Who Is Paris Hilton, Really?", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-11-26
  7. "Opinion | Paris Hilton's new documentary shines a light on a shameful American industry". NBC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  8. Patrick Holland. "YouTube's This Is Paris shows the real Paris Hilton behind her 'that's hot' persona". CNET (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  9. "Paris Hilton Opens Up About Physical and Emotional Abuse at Boarding School". Town & Country (kwa American English). 2020-08-24. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  10. Hannah Yasharoff. "After alleging abuse at her old school, Paris Hilton isn't backing down". USA TODAY (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu This is Paris kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.