Mtumiaji:Abdulkarim000/Muhtasari wa Misri ya Kale
Ufuatao ni muhtasari juu ya Misri ya kale uliotolewa kama mapitio ya muongozo wa Misri ya kale.
Misri ya kale- ujamaa wa kale katika Kaskazini Mashariki mwa Afrika, ulijikita zaidi kwenye upande wa chini mwa mto Nile ambao kwa sasa ndio Misri ya sasa. Ujamaa wa misri ulishika hatamu katika miaka ya 3150 KK ( kulingana na mpangilio wa matukio ya kale ya Kimisri)[1] pamoja na muungano wa kisiasa kati ya Misri ya juu na chini uliofanyika chini ya farao wa kwanza.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Egyptian Chronology". www.ucl.ac.uk. Iliwekwa mnamo 2022-11-28.
- ↑ Dodson (2004) uk. 46