Open main menu
Farao

Farao (kwa Kimisri jumba) lilikuwa jina la heshima ambalo kila mfalme wa Misri ya kale alipewa. Katika lugha ya Kiswahili linatumika pia jina Firauni. Jina hili lilitumika hadi Warumi walipoiteka Misri mwaka 30 KK. Kabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farao kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.