Mtumiaji:CJudy24/Kuhusishwa kwa vijana

Kuhusishwa kwa vijana ni dhana ya Sera ya umma. Common wealth of Nations[1] huelezea hili katika maudhui haya: Maendeleleo ya vijana kitaifa mara nyingi huwa ni jukumu la wizara au idara ya serikali ambapo utambulisho wa vijana huonekana,ambapo mambo ya vijana hutakiwa kujumuishwa katika sekta mbalimbali na wizara kama vile afya,uchumi,maendeleo ya kiuchumi,makazi,haki,mambo ya nje,elimu na kilimo.

Marejeo hariri

  1. "Commonwealth Youth Programme", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-09-15, iliwekwa mnamo 2022-11-30