Naitwa Chrispina Ngoo,nasoma katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, nasoma masomo ya Afisa uhusiano na utangazaji. Nimependa kujiunga katika shindano la wikipedia kwa sababu nimesikia habari hizi kutoka kwa rafiki yangu. Nasikitika kuchelewa kujiunga lakini, naamini angalau nitaweza kuchangia makala angalau kidogo.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)