Denis John5
Imejiunga 26 Novemba 2022
Habari, Kwa majina kamili ni Denis Ruttakumwa John, mzaliwa na raia wa Tanzania. Mimi ni mmoja ya mhariri wa Wikipedia kutoka Tanzania. Makala ya kwanza kuhariri ilikuwa mwaka 2022 na kuendelea kazi hii ya kusambaza elimu kwa watu duniani kote kupitia lugha ya kiswahili pamoja na kufanya mabadiliko kwenye makala kulingana na matukio yanayotokea kila siku hapa duniani.