Elia dotto
Imejiunga 5 Agosti 2017
Mimi Elia Dotto ni mkazi wa shinyanga wilaya ya kahama.nilimaliza darasa la saba mwaka 2016,na sasa nipo kidato cha kwanza katika shule ya sekondari alfagems.mimi ninapenda sana masomo ya sayansi. nina ndoto ya kuwa daktari.