Ft the founder jr
Imejiunga 29 Januari 2021
Festo Thomas Ntwale maarufu kama ft the founder jr Ni mtanzania alizaliwa mkoani Geita Katika Kijiji cha Ndelema kilichopo Wilaya ya Geita vijijini .
Festo Thomas Ntwale Alizawa mnamo mwaka 1989 June 10. Majina kamili ya wazazi wake ni Mzee Thomas Ntwale MSUKUMA na Bi,Anna Ezekiel msukuma pia. Festo Thomas Ntwale amesoma shule ya msingi Ndelema ambapo alianza darasa la kwanza mnamo mwaka 1998 na kuhitimu masoma ya elimu ya msingi mwaka 2004 akaendelea na masomo ya sekondari mwaka 2005 katika shule ya sekondari Kamena .