Wilaya ya Geita ni mojawapo kati ya wilaya za Mkoa wa Geita, nchini Tanzania. Ina postikodi namba 30000[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 712,195 [2]

Ramani ya Mji wa mwaza

Geita kwa sasa inakuja juu kutokana na watu kuwekeza katika mkoa wake mpya. Pia kuna miundombinu inayojengwa kama vile barabara na shule mbalimbali.

TanbihiEdit

  Kata za Wilaya ya Geita - Mkoa wa Geita - Tanzania  

Bugalama | Bugulula | Buhalahala | Bujula | Bukoli | Bukondo | Bulela | Bung'wangoko | Busanda | Butobela | Butundwe | Chigunga | Ihanamilo | Isulwabutundwe | Izumacheli | Kagu | Kakubilo | Kalangalala | Kamena | Kamhanga | Kanyala | Kasamwa | Kaseme | Katoma | Katoro | Lubanga | Ludete | Lwamgasa | Lwenzera | Magenge | Mgusu | Mtakuja | Nkome | Nyachiluluma | Nyakagomba | Nyakamwaga | Nyalwanzaja | Nyamalimbe | Nyamboge | Nyamigota | Nyamwilolelwa | Nyanguku | Nyankumbu | Nyarugusu | Nyaruyeye | Nyawilimilwa | Nzera | Senga | Shiloleli


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.