Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-2 This user is able to contribute with an intermediate level of English.

Habari. Ninaitwa Ignas Maembe. Ni mkazi wa Dar es Salaam, Tanzania. Nimejiunga kwenye Wikipedia ili niweze kuchangia makala za kisiasa. Mimi ni mstadi wa uchambuzi wa kisiasa katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Makala zangu nyingi zitahusisaha masuala ya kisiasa zaidi. Hivyo tegemeeni mengi kutoka kwenye siasa.