KMKM F.C.
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:Innocent Massawe/KMKM F.C.)
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, ama kwa urahisi KMKM SC ni klabu ya mpira wa miguu kutokea Zanzibar yenye makao yake kisiwani Unguja .
Kikosi cha sasa
haririKikosi cha Timu ya kwanza
hariri- As of 31 May 2024
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
Mafanikio
hariri- 1984.
- 1984, 1986, 2004, 2013, 2014, 2019, 2021, 2022.
- Nyerere Cup : 3
- 1977, 1982, 1983.
- Kombe la Zanzibar : 1
- 2002.
Matokeo katika mashindano ya CAF
hariri- Ligi ya Mabingwa Afrika : Michezo 5
- 2005 – Hatua ya Mtoano
- 2014 – Hatua ya Mtoano
- 2015 – Hatua ya Mtoano
- 2020 – Hatua ya mtoano
- 2022 – Hatua ya awali
- Kombe la Shirikisho la CAF : Mchezo 1
- 2011 - Hatua ya mtoano
Vidokezo
haririViungo vya nje
hariri- Wasifu wa timu - Jalada Kubwa Zaidi la Soka Ulimwenguni
- Wasifu wa timu - footballzz.co