JITENI LUTAMBI ni mwalimu wa shule ya msingi IBAMBA iliyopo mkoa wa GEITA wilaya ya BUKOMBE.alizalia mwaka 1/12/1987 katika kijiji cha NUNDWE-MUFINDI-IRINGA.amesoma shule ya msingi nundwe kuanzia 1997-2003.amesoma shule ya sekondari KIBENGU-IRINGA kuanzia 2004-2007.amesomea chuo cha ualimu MUFINDI TEACHERS' COLLEGE(MUTCO) 2010-2012.ameanza ajira ya ualimu mwaka 1/3/2013.anamudu kufundisha vizuri masoma ya HISABATI,SAYANSI,JIOGRAFIA na KISWAHILI.