kwanini huyu mwalimu ameandikwa muhu? je umefuata vigezo vya kuanzisha makala? kama hutarekebisha makala itafutwa mara moja. (mchango huu uliandikwa na mtumiaji:Olimasy tarehe 19 Aprili 2019, saa 05:45)

Kila mtumiaji yuko huru kujitambulisha kwenye ukurasa wake (kwenye "userspace", SI KATIKA MAKALA) jinsi anavyoona; isipokuwa hatukubali matangazo ya kibiashara, ya kisiasa, mahubiri au kukashifu wengine).Kipala (majadiliano) 06:27, 19 Aprili 2019 (UTC)Reply