Covid-19 (pia COVID-19, kifupi cha Kiingereza Coronavirus disease 2019)

Kiwango cha vifo kati ya walioambukizwa
(kufuatana na takwimu rasmi za nchi husika; asilimia zinategemea idadi ya wenye virusi wote waliotambuliwa; hapa inawezakana kuna tofauti baina nchi na nchi; kama idadi kubwa ya wenye virusi haikutambuliwa, kiwango cha vifo kingepaswa kupungua)
Umri China[1] Italia[2] Korea Kusini[3]
miaka 0–9 0,0 % 0,0 % 0,0 %
miaka 10–19 0,2 % 0,0 % 0,0 %
miaka miaka 20–29 0,2 % 0,0 % 0,0 %
miaka 30–39 0,2 % 0,0 % 0,1 %
miaka 40–49 0,4 % 0,1 % 0,1 %
miaka 50–59 1,3 % 0,2 % 0,4 %
miaka 60–69 3,6 % 2,5 % 1,4 %
miaka 70–79 8,0 % 6,4 % 4,7 %
miaka 80 na zaidi 14,8 %0 13,2 %0 8,3 %


  1. Coronavirus in NRW: Wer ist gefährdet und wer nicht?, tovuti ya WDR, tar. 2020-03-05, iliangaliwa 2020-03-14, data za China CDC Weekly
  2. Cosa dice il nuovo rapporto dell’Istituto Superiore di Sanità sul coronavirus, tovuti ya ilpost.it ya tar. 2020-03-11, iliangaliwa 2020-03-14
  3. The updates on COVID-19 in Korea as of 13 March, tangazo la Korea CDC ya tar. 2020-03-13, iliangaliwa 2020-03-14