Huu ni ukurasa wa majaribio katika userspace draft... kwa ajili ya macho ya Muddy tu (maana nilichotuma kupitia whatsapp inafika hapa!) Kipala (majadiliano) 17:46, 11 Machi 2018 (UTC)

Mzee wangu, hii ni draft la mtumiaji tu. Tunahitaji draft kama draft namespace. Kule itutumika kutengeneza makala za awali kabla kuzifanya makala kamili kwa watumiaji wapya.--MwanaharakatiLonga 03:18, 12 Machi 2018 (UTC)
Naelewa tofauti. Ila tu sijaelewa bado faida ya namespace draft. Maana mimi mwenyewe natumia njia hii kuandaa makala. Nikiridhika nahamisha namespace. Unaonaje?Kipala (majadiliano) 08:43, 12 Machi 2018 (UTC)
Kwa kile ulichopendekeza la "ARTICLE WIZARD" bila draft ni sawasawa na bure. Article wizard inaishia kwenye draft kama hujatazama vyema. Hii si kwa wageni faida yake, bali hata kwa wenyeweji. Badala ya makala kuandikwa katika kijikurasa cha mtumiaji heri iwe katika "RASIMU" kila mmoja wetu ataweza kuchangia. Huu ni hatua nyengine mpya ya Wiki yetu!--MwanaharakatiLonga 07:11, 13 Machi 2018 (UTC)
Basi, sawa. Endelea!Kipala (majadiliano) 08:42, 13 Machi 2018 (UTC)