Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki (ind.) katika Shindano la WP ya Kiswahili la 2009. (Submissions)Mimi ninaitwa Kaizilege Karoma rafiki zangu wanapenda kuniita Kai na ndiyo jina ambalo limezoeleka sana. Ninaishi Dar es salaam, Tanzania. Ninapenda kuona kiswahili kinatumika kwenye mtandao. Nimejiunga rasmi kwenye wavuti wa Wikipedia ili tushiriki pamoja kukuza lugha yetu.

Ukurasa wa Karoma Mtandao jamii wa kiswahili