Mdude nyagali
Imejiunga 30 Januari 2017
Mdude Nyagali au mpaluka said nyagali almaarufu kama mdude alizaliwa 25 augost 1987 katika kijiji cha isongole wilaya ya ileje katika mkoa wa mbeya ambapo sasa ileje ipo katika mkoa wa songwe katika nchi ya tanzania iliyopo africa mashariki.