Moongateclimber
Imejiunga 5 Julai 2008
Lugha | ||||
---|---|---|---|---|
|
Mimi ninatoka na ninaishi Italia. Ninapenda Afrika na ninasoma Kiswahili. Ninasema Kiitaliano na Kiingereza. Mimi ni mkabidhi katika Wikipedia ya Kiitalia; nyumba yangu katiki Wikipedia ya Kiitalia ni huku; katiki Wikipedia ya Kiingereza ni huku; na nyumba yangu katiki Wikipedia Commons ni huku.
Michango yangu
haririNilifanya makala hizi:
- 90125
- Close to the Edge
- DCC Mlimani Park Orchestra
- Led Zeppelin
- Muziki wa dansi
- Orchestra Maquis Original
- OTTU Jazz Band
- Yes
Michango yangu nyingine:
→ kwa Kiitaliano
→ kwa Kiingereza
→ katika Wikimedia Commons