Capricorn94
CHAMA CHA SKAUTI ETHIOPIA
haririShirikisho la skauti Ethiopia ni shirikisho la kitaifa Ethiopia. Skauti ya Ethiopia ilianzishwa mwaka 1919 [1] na ikaanzishwa mashuleni jijini Addis Ababa mnamo mwaka 1934. [2]Ingawa shirikisho lililazimika kusitisha shughuli zake kutokana na vita ya pili vya italo - abyssinian mwaka 1935 - 1936. Skauti ilifunguliwa tena mwaka 1948. Ethiopia ilitambulika kama mwanachama na shirika la skauti duniani mwaka 1969.
Historia
haririNyakati za nyuma wapiganaji wa Ethiopia walikuwa kama wanajeshi kwasababu hapakuwa na vyuo vya kijeshi. Lakini mwaka 1911 na kuendelea ilianzishwa chuo cha kijeshi na wanajeshi wote wakapata mafunzo yote ya kijeshi.
Mafunzo na maadili
hariri• Skauti ya Tadagi miaka 7 mpaka 11/12
• Skauti ya Madebegha miaka 11/12 mpaka 15/17
• Skauti ya wotat miaka 15/17 mpaka 18/19
• Skauti ya Awaki miaka 18/19 mpaka 25[3]
Nembo
haririBeji zote za wanachama zina alama ya simba wa yuda kama ile inayoonekana kwenye bendera ya Ethiopia.
Vikosi vya kimataifa vya skauti nchini Ethiopia
haririPia kuna skauti ya vijana wa amerika jijini Addis Ababa yenye mahusiano na tawi la skauti ya vijana marekani ambalo huwa linasaidia vikosi vingine duniani.