Wikipedia:Babel
en This user is a native speaker of English.
sw-3 Mtumiaji huyu anaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.

Kutoka mwezi wa Septemba 2006 mpaka mwezi wa Decemba 2008, nilikuwa ninaishi Tanzania. Nilikuwa ninajitolea na Huduma za Kujitolea za Marekani (yaani Peace Corps [1]). Nilikuwa nimejifunza Kiswahili Morogoro wakati wa mafunzo, likini baada ya kufanya hiyo, nilihamishwa ili kukaa karibu na Matema Beach, wilaya wa Kyela, mkoa wa Mbeya. Nilikaa karibu na Ziwa Nyasa na chini ya Milima Livingstone.

Wakati wa Peace Corps, nilikuwa Mwalimu wa Hesabati katika Shule ya Matema Beach na niliwafundisha wanafunzi wa Kidato cha Tatu na Nne.

Bado naendelea kuboresha Kiswahili changu na nitajitahidi kuongeza hapa kwenye wiki.