Jina langu halisi ni Nino Vessella. Ukipenda kupata habari zaidi zangu tafadhali usome hapa: www.vessella.it

Il mio nome vero à Nino Vessella. Se vuoi proprio saperne un po' di più leggi qui: www.vessella.it

Mia vera nomo estas Nino Vessella. Se vi nepre deziras koni min iom pli, legu: www.vessella.it

My real name is Nino Vessella. If you want to know a little more about me look at: www.vessella.it


Tufunge uhariri kwa wale waliojiandikisha?Edit

Napendekeza kufungs uharitri wa makala kwa watumiaji waliojiandikisha. Uhalifu wote hadi sasa ilikuwa ya watu bila jina. Leo nilirudisha "Msaada wa kuanzisha makala" baada ya uhalifu. Hatujakuwa na matatizo mengi bado lakini ilhali tuko wachache inasumbua hata hivyo. Wasimamizi wenzangu: Je kuna tatizo lolote tukitaka kuruhusu uhariri wote kwa waliojiandikisha tu? (Naomba jibu kwenye ukurasa Wikipedia:Jumuia) --Kipala 20:59, 27 Februari 2007 (UTC)