Mtumiaji:Oscar Kikoyo

Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo

hariri
 
Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo

Oscar Ishengoma Kikoyo (alizaliwa Tarehe 22 Februari, 1970) , ni mtaalamu wa sheria na mdau wa elimu, pia mwanasiasa wa Tanzania katika chama cha CCM na sasa ni Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini tangu mwaka 2020.[1]

Familia

hariri

Alizaliwa Rwantege Muleba, Tanzania katika familia ya Baba Protazi Bin'Omutonzi Kikoyo na mama Katarena Kikoyo

Tarehe 17/2/2001 akafunga ndoa na Levina Apolinary Kikoyo (kwa sasa ni _ Mkurugenzi wa Nchi || Pact Tanzania),na kujaliwa nae watoto wanne; Cuthbert Mugishagwe Kikoyo (2002), Carlin Ruhangisa Kikoyo (2003), Cassian Mwombeki Kikoyo (2005) na Carson Bin'Omutonzi Kikoyo (2011).

Masomo

hariri
2004 - 2006 Masters Degree The Indian Institute of Foreign Trade Masters in International Business
1998 - 2001 Bachelor Degree University of Dar es Salaam Bachelor of Laws
1993 - 1996 Diploma Kahangala Major Seminary Diploma in Philosophy
1990 - 1992 Secondary School Rubya Junior Seminary ACSEE
1979 - 1984 Primary School Rwantege Primary School -
1986 - 1989 Secondary School Rubya Junior Seminary CSEE
1984 - 1985 Primary School Rutabo Preparatory Seminary CPEE
2008 - 2014 PhD The Open University of Tanzania Doctor of Philosophy

TRAINING

1992 - 1993 National Service - JKT Certificate

1995 - 1996 Red Cross Certificate

Work Experience

hariri
Year Position Organization
2003 - To date State Attorney Ilala Municipal Council
2018 - 2020 Part time Lecturer Dar es Salaam Institute of Maritime
2015 - 2020 Part time Lecturer University of Dar es Salaam
2010 - 2020 Part time Lecturer National Institute of Transport
2006 - 2020 Executive Secretary SUMATRA
2003 - To date Advocate The High Court of Tanzania
2002 - 2003 Resident Magistrate Judiciary
2001 - 2002 Legal Officer Mkoba & Co. Advocates

Mwanasiasa wa Tanzania

hariri

Dkt. Oscar Kikoyo ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi kupitia mkoa wa Kagera , jimbo la Muleba Kusini.

Mwaka 2020, kama mwana chama cha CCM mwenye haki zote za kugombea na kupigiwa kura halali aliamua kuwania kiti cha ubunge jimbo lake la Muleba Kusini kupitia chama chake cha CCM baada ya Professa. Anna Tibaijuka kutangaza kuachia kiti cha ubunge jimbo hilo la Muleba Kusini na Dkt. Kikoyo kushinda kwa ushindi wa kura zaidi ya asilimia sitini na tano mwaka huo wa 2020.

Committees

hariri
# Duration Position Name
1 2021 - 2023 Member Public Investments Committee
2 2021 - 2023 Member Standing Orders Committee

References

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa January 2020